Web Analytics
Exclusive: Huyu ndiye Dj Skad aliyepitia magumu, kuuza mkaa mpaka kupanda stage moja na Burna Boy


  • Explain

    Copyright © Sporty Leo

    Exclusive: Huyu ndiye Dj Skad aliyepitia magumu, kuuza mkaa mpaka kupanda stage moja na Burna Boy

    SPORTYLEO MEDIA  LTD
    , September 01, 2022 WIB

    Leo Nakutanisha na DJ Skadi ambae amekaa kwenye Exclusive interivew kuelezea maisha aliyopitia mpaka kuwa DJ.

    Skadi anaingia kwenye orodhaa ya Ma DJ wakali kutoka Tanzania wanaofanya vizuri katika tasnia ya Muziki hususani Club, Bars hata Matamasha mbalimbali.

    Na katika mahojiano hayo ameeleza yale aliyoyapitia maishani kuanzia kuuza mkaa kuwa konda wa Daladala na mengineyo.



    Comments

    Show