Web Analytics
RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA…ATUHUMIWA KUPANGA MATOKEO NA UPENDELEO…KIKAANGONI CAF


  • Explain

    Copyright © Sporty Leo

    RAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA…ATUHUMIWA KUPANGA MATOKEO NA UPENDELEO…KIKAANGONI CAF

    SPORTYLEO MEDIA  LTD
    , April 15, 2024 WIB


     

    Rais wa Shirikisho la soka Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o,
    aitwa na shirikisho la soka Afrika (CAF) April 17 kujieleza kuhusiana na tuhuma za upangaji wa matokeo na upendeleo kwa baadhi ya ‘timu’.

    Aidha CAF imefanya uamuzi huo kufuatia madai ya upendeleo kwa baadhi ya ‘timu’ katika michuano ya Cameroon, tuhuma ambazo zimepelekea kuitwa kwa Rais huyo.

    Mchezaji huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Cameroon anatarajiwa kujieleeza pia kupanda kwa timu ya Victoria United kutoka ‘ligi’ daraja la pili hadi daraja la kwanza.

    Comments

    Show