Web Analytics
SIMBA SC SAFARINI ZANZÍBAR KUWEKA KAMBI WAIBOMOE YANGA J’MOSI


  • Explain

    Copyright © Sporty Leo

    SIMBA SC SAFARINI ZANZÍBAR KUWEKA KAMBI WAIBOMOE YANGA J’MOSI

    SPORTYLEO MEDIA  LTD
    , April 16, 2024 WIB
    NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ akiwa Bandari ya Azam Marine na wenzake kwa safari ya Zanzíbar kwenda kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya watani wa jadi, Yanga Jumamosi Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.
    Comments

    Show