SPORTYLEO MEDIA LTD
Manchester City wako tayari kupambana na Barcelona kwa ajili ya kumnasa Dani Olmo.
Olmo, 25, amekuwa kwenye Bundesliga na RB Leipzig kwa misimu minne iliyopita na amekuwa akifuatiliwa na Barca kwa miezi mingi. Ripoti hiyo ... Sporty News , April 18, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
Tumefika nusu fainali ya kwa mara ya 17 :Real Madrid
Wafalme hao wa muda wote wa Ulaya walisonga mbele hadi kutwaa taji la 15 lililoweka rekodi katika shindano hilo ambalo wametawala baada ya k... Sporty News , April 18, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
Man U yaungana na Arsenal, Manchester City na Liverpool katika vita kuwania saini ya kinda wa Brazil
Gazeti la The Sun limeripoti kuwa Manchester United ndio timu ya hivi punde zaidi kuonyesha nia ya kumnunua kinda wa Brazil Gustavo Nunes. ... Sporty News , April 18, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
Mchezaji maarufu wa kandanda Romario, asajiliwa kama mchezaji nchini Brazil
Gwiji wa Brazil Romario, 58, amejisajili kama mchezaji wa Klabu ya Soka ya Amerika huko Rio de Janeiro, ambako pia anahudumu kama rais wa k... Sporty News , April 18, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
NYOTA WA BRAZIL AREJEA UWANJANI AKIWA NA MIAKA 58…MNAOSEMA SAIDO MZEE MPO WAPI?
‘Jobe, Fredy ni usajiri mbovu kwa @simbasctanzania , Saido umri umeenda” – Mzee Mwenda Nyota wa zamani wa Brazil na mshindi wa kombe la Dun... Sporty News , April 18, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
MSAUZI KUPEWA U-CEO SIMBA….KAJULA AANZA KUAGA WACHEZAJI….ISHU NZIMA IKO HIVI.
UONGOZI wa Simba wapo kwenye mchakato wa kutafuta Mtendaji Mkuu kutoka Afrika Kusini kwa ajili ya kuja kuchukuwa nafasi ya Iman Kajula ambay... SIMBA SC Sporty News , April 18, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
ZA NDAAANIII KABISA….BARBARA , MKWABI KUCHUKUA NAFASI YA TRY AGAIN SIMBA
ALIYEKUWA Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Barbara Gonzalez na Sued Mkwabi wametajwa mmoja wapo huenda akaja kuchukuwa nafas... SIMBA SC Sporty News , April 18, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
BENCHIKHA:- UKIACHANA NA YANGA…TANZANIA NZIMA INASHIDA YA WASHAMBULIAJI
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha amefunguka na kusema amegundua tatizo la kumalizia (ushambuliaji ) ni janga la nchini kwa sasa kul... SIMBA SC Sporty News , April 18, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
MAFAZA WAIBEBA SIMBA KWA MKAPA…GAMONDI ATAMBIA REKODI YA 5G
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la leo la 18/4/2024 la Mwanaspoti kama lilvyoandikwa, kuchapishwa na kusambazwa na MCL. MAGAZETI Sporty Magazine , April 18, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
EDO:- VIONGOZI SIMBA WANARUDIA SANA MAKOSA ….HAWAJUI TATIZO LILIPO..
Uongozi wa Simba SC umeendelea kupewa ushauri na kukosolewa kwa baadhi ya mambo ambayo yanadaiwa kuwa chachu ya kushindwa kufikia malengo w... SIMBA SC Sporty News , April 18, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
AZIZ KI AWABURUZA MUDATHIR NA BACCA…AJISHINDIA MAMILION KUTOKA KWA WADHAMINI…IPO HIVI
JUSTIN F MYINGA Report SPORTYLEO MEDIA LTD Kiungo msha... Sporty News YANGA SC , April 17, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
STAA YANGA:- PACOME ANATUMIA NGUVU NYINGI…CHAMA ANATUMIA AKILI NYINGI…ANAMCHAMBUA HADI KIPA
Staa wa zamani wa Yanga, Idd Moshi, ameingia katika mjadala ambao umekuwa ukiendelea tangu msimu huu uanze kwa mashabiki kila mmoja akiwali... SIMBA SC Sporty News YANGA SC , April 17, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
TANZANIA KUWA MWENYEJI WA AFCON…WAZIRI ATHIBITISHA…MIUNDOMBINU YA KISASA KUJENGWA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amewaomba Watanzania kuchangamkia fursa zitakazotokana na kuwa wenyeji ... Sporty News , April 17, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
Azam FC YAPATA PIGO KUBWA…MCHEZAJI HUYU KUONDOKA…KUSAJILI MASHINE HII MPYA
Klabu ya El Merrikh inampango wa kumrejesha Mlinda lango wake anayekipiga Kwa Mkopo wa nusu msimu ndani ya Klabu ya Azam, Mohammed Mustafa ... Sporty Magazine , April 17, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
DODOMA JIJI YATOA SULUHU NA JKT TANZANIA LEO JAMHURI
WENYEJI, Dodoma Jiji FC wamelazimishwa sare ya mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri ... Sporty News , April 16, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
KMC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1-0 PALE PALE MANUNGU KAZI YA SALIBOKO
BAO pekee la Daruwesh Saliboko dakika ya 54 limeipa KMC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Manungu Complex, Turia... Sporty News , April 16, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
UWANJA WA KING GEORGE KUTUMIKA KWA MAZOEZI AFCON 2027
WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amesema kwamba Uwanja wa michezo wa King George Memorial uliopo Manispaa ya Mosh... Sporty News , April 16, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
SIMBA SC SAFARINI ZANZÍBAR KUWEKA KAMBI WAIBOMOE YANGA J’MOSI
NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ akiwa Bandari ya Azam Marine na wenzake kwa safari ya Zanzíbar kwenda kuweka kambi ya kuji... SIMBA SC , April 16, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
MASHABIKI WA YANGA KUKOPESHWA SIMU SILVER GENERAL
KLABU ya Yanga leo imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya Silver General Investment unatoa fursa kwa mashabiki timu hiyo kukopeshwa ... Sporty News , April 16, 2024 WIB
SPORTYLEO MEDIA LTD
Subscribe to:
Posts (Atom)




















